Faulink Systems Portal — Mfumo wa Biashara na Shule
Salama â€ĸ Haraka â€ĸ Rahisi kutumia

Kuhusu Faulink.com

Faulink.com ni jukwaa la mifumo ya kisasa linalosaidia Biashara, Shule na Taasisi kusimamia kazi zao kwa urahisi: Mauzo (POS), Matokeo, Uhasibu, Mikopo, Vikoba na Ratiba.

Faulink ni nini?

Faulink ni “Mfumo wa Biashara na Shule” unaolenga kurahisisha kazi za kila siku kwa kutumia teknolojia.

  • Kuokoa muda kwa kuondoa kazi za mikono (manual).
  • Ripoti za haraka (daily/weekly/monthly) kwa uamuzi sahihi.
  • Usalama wa taarifa (access control + best practices).
  • Muonekano wa kisasa unaofanya kazi vizuri kwenye simu na kompyuta.
Dira, Dhamira & Maadili
Dira (Vision)
Kuwa chaguo namba 1 la mifumo rahisi na bora kwa Biashara na Taasisi.
Dhamira (Mission)
Kutoa mifumo salama, ya kisasa na rahisi kutumia, inayoleta matokeo.
Maadili (Values)
Uaminifu â€ĸ Ubunifu â€ĸ Uwajibikaji â€ĸ Mteja Kwanza
Kwa nini uchague Faulink?
Tunajenga mfumo unaoendana na mazingira halisi ya kazi Tanzania.
Responsive
Inafanya kazi vizuri kwenye simu, tablet na PC.
Haraka
Uingizaji data na ripoti kwa muda mfupi.
Usalama
Njia bora za usalama wa taarifa na akaunti.
Support
Msaada wa karibu + maboresho kulingana na mahitaji.
Jinsi tunavyofanya kazi
Hatua rahisi hadi mfumo wako uwe tayari kutumika.
1) Tunasikiliza mahitaji
Tunachambua kazi zako na matokeo unayotaka.
2) Tunasanifu & kuweka mfumo
Tunaboresha muonekano, usalama, na ufanisi.
3) Mafunzo & Support
Tunakuonyesha matumizi na kukupa msaada wa karibu.
Tuko tayari kukusaidia!

Unataka mfumo kwa biashara/shule yako? Tuambie mahitaji yako, tutakupatia suluhisho bora.