Panga, dhibiti na fatilia michango, mikopo, marejesho na matumizi ya kikundi chako kwa urahisi.
Weka rekodi sahihi za michango ya kila mwanachama kwa uwazi na uaminifu.
Simamia utoaji wa mikopo na marejesho kwa njia rahisi na salama.
Pata ripoti sahihi za fedha kwa kipindi chochote kwa uamuzi bora wa kifedha.