Usimamizi wa matokeo ya shule kwa urahisi, usahihi na usalama — kuanzia usajili wa wanafunzi, madarasa, masomo hadi uchambuzi wa matokeo.
Chagua moduli unayotaka kuanza nayo.
Sajili na dhibiti taarifa za wanafunzi, madarasa, masomo na matokeo kwa urahisi na usalama.
Chagua hii kupata full school management system yenye jina la shule yako — simamia kila kitu kuhusu shule.
Jisajili na usimamishe kikamilifu taarifa za wanafunzi na matokeo kwa ufanisi mkubwa.
Simamia matokeo ya wanafunzi wa sekondari kwa urahisi na ufanisi.
Simamia matokeo ya wanafunzi wa shule za msingi kwa urahisi na ufanisi.
Kusimamia zaidi ya darasa moja kwenye akaunti moja — ingia hapa.
Fuatilia malipo, deni (balance) na ankara (invoices) za wanafunzi.
Pata msaada wa haraka kuhusu usajili, matumizi na setup ya mfumo.
Fahamu tofauti ya Mfumo No 1–4 kabla ya kuanza.