Maswali ya Mara kwa Mara (FAQ)

Majibu ya haraka kuhusu huduma za Faulink Systems Portal โ€” elimu, biashara, uhasibu, mikopo, ratiba na matokeo.

โœ… Support ya Haraka ๐Ÿ” Usalama wa Data ๐Ÿ“ฑ Inafanya Kwenye Simu
Bei / Pricing Wasiliana
Updated: 2025

Tafuta swali (Search)

Unaweza kutafuta kwa swali au maneno yaliyopo ndani ya jibu.
Hakuna swali lililopatikana kwa utafutaji huo. Jaribu neno jingine.
๐Ÿ”ท Utangulizi ๐Ÿ“Š Matokeo & Shule ๐Ÿ’ผ Biashara & Uhasibu ๐Ÿ’ณ Mikopo & Vikoba ๐Ÿ” Usalama & Data ๐Ÿงฉ Technical โ˜Ž Support

Maswali & Majibu

Faulink.com ni jukwaa la kitaalamu linalotoa mifumo ya elimu, biashara, uhasibu, matokeo ya wanafunzi, mikopo, blogi, ratiba, na mafunzo ya teknolojia kwa Kiswahili.

Ndiyo. Shule nyingi zinaweza kusajili akaunti tofauti, kila shule ikiwa na masomo, madarasa, na wanafunzi wao. Mfumo huu unaruhusu watumiaji wengi ndani ya jukwaa moja.

Ndiyo. Faulink ina mfumo wa matokeo unaoonyesha alama, nafasi, daraja, wastani na ripoti zinazochapishwa kwa kila mwanafunzi.

Inatoa mifumo ya kufuatilia mauzo, bidhaa, mikopo, risiti, na taarifa za kifedha kwa mwezi, mwaka, au kila mteja.
Shiriki huduma hii:

Blogu inatoa maarifa ya elimu, biashara, mafanikio, na teknolojia. Chaneli ya YouTube hutoa mafunzo ya Excel, PHP, HTML, MySQL, uhasibu, na stadi za kidigitali kwa Kiswahili.
Shiriki huduma hii:

Ndiyo. Walimu au taasisi wanaweza kusajili akaunti zao na kuingia ili kusimamia wanafunzi, madarasa, matokeo, na michango.

Ndiyo. Mifumo yote ya Faulink imejengwa kwa teknolojia ya responsive design, hivyo inafanya kazi kwenye simu, tablet, na kompyuta bila matatizo.

Ndiyo! Kila mfumo una demo version inayokuwezesha kuangalia jinsi unavyofanya kazi kabla ya kufanya malipo yoyote.

Tovuti hupitia usimbaji fiche (encryption), hashing ya password, CSRF protection, na security auditing za mara kwa mara.

Ndiyo! Unaweza kuagiza mfumo maalum kwa matumizi ya shule, kampuni, kikundi cha biashara, au taasisi yoyote.

Ndiyo. Kuna mfumo unaorekodi ada, michango, ratiba ya malipo, na kutoa risiti moja kwa moja.

Ndiyo. Mwanfunzi anaweza kutumia namba ya mtihani, jina, au namba ya usajili kuangalia matokeo.

Ndiyo. Kuna roles mbalimbali kama admin, mwalimu, accountant, na data entry.

Faulink hutoa backup ya kila wiki, pamoja na downloadable backup kwa watumiaji wanaotaka kuhifadhi wenyewe.

Ndiyo, unapata PDF, Excel export, na print-friendly reports.

Faulink ni cloud-based, lakini unaweza kupata offline version endapo unahitaji kwa gharama ya ziada.

Tuna support ya WhatsApp, simu, email, na video call kwa maelezo marefu.

Ndiyo! Tumeweka import tool kwa matokeo, wanafunzi, bidhaa, na taarifa nyingine.

Gharama hutegemea idadi ya mifumo unayotumia. Kuna mpango wa mwezi, mwaka, na one-time payment.

Ndiyo. Risiti hutengenezwa moja kwa moja na unaweza kuiprint au kuituma kwa WhatsApp.

Ndiyo! Unaweza kufuatilia mkopo, marejesho, riba, wanachama, madeni, na ripoti.

Ndiyo. Unapanga vipindi, walimu, masomo, breaks, na events.

Ndiyo. Blog system ina categories, tags, searching, sharing, and comments.

Ndiyo. Tuna API ambazo zinaweza kuunganishwa na mobile apps.

Hapana. Unaweza kuongeza watumiaji bila kikomo.

Ndiyo. Kila mfumo hupata updates mpya za security, speed, na features.

Ndiyo. Unapata video tutorials, PDF guides, na live training endapo inahitajika.

Ndiyo. Brand customization inapatikana kwa utambulisho wa taasisi yako.

Ndiyo! Kuna mfumo wa mapato, matumizi, salio na ripoti kamili.

Ndiyo. Tuna API connectors kwa mifumo hiyo.

Ndiyo. Kuna LMS ndogo kwa assignments, notes, videos, na resources.

Ndiyo. Tuna tengeneza websites za shule, biashara, na miradi.

Ndiyo. Invoice hutumwa kwa email au WhatsApp mara tu unapofanya oda.

Ndiyo. Kuna WhatsApp community ya kujifunza Excel, PHP, MySQL, Digital Skills, na biashara.

Ndiyo. Apps za Android na iOS hutengenezwa kwa oda maalum.

Hapana. Faulink inatoa huduma hiyo tayari. Ila unaweza kutumia server yako ukitaka.

Ndiyo. Mifumo ya fast-delivery hutolewa ndani ya masaa 24.

Ndiyo! Dashboard zina charts, graphs, tables na data analytics.

Ndiyo, ina automatic totals, balances, grading, na analytics.

Ndiyo, ina payment integration kwa oda maalum.

Ndiyo. Desktop versions hutolewa kwa uhasibu, mauzo, na matokeo.

Ndiyo, tunatoa certificate kwa mafunzo ya Excel na PHP.

Ndiyo. Tunatengeneza CV, Cover Letters na Portfolio online.

Ndiyo. Tunatoa SEO optimization na Google ranking services.

Kusaidia watumiaji kupata mifumo ya bei nafuu, rahisi kutumia, salama, na yenye ubora wa kiwango cha kimataifa.

Kwa sababu tunatoa teknolojia bora, support ya haraka, bei nafuu, muonekano wa kisasa, na huduma zinazokua kila siku.

Faulink iko Mbuyuni, Masasi, Mtwara - Tanzania.
Mawasiliano:
โ˜Ž +255 693 118 509
โœ‰ info@faulink.com
๐ŸŒ www.faulink.com
WhatsApp na ujumbe kupitia tovuti pia vinapatikana.

Bado una swali?

Tuma ujumbe WhatsApp au tumia ukurasa wa mawasiliano. Tutakusaidia kuchagua mfumo sahihi.
๐Ÿ’ฌ WhatsApp Support