FAUSTINE MWOYA November 23, 2025 1 min read

Mahali Sahihi pa Kupata Nyaraka na Machapisho Muhimu ya NECTA kupitia faulink.com

Kwa wote wanaotafuta miongozo, machapisho, waraka, ratiba, syllabus, matokeo, na taarifa mbalimbali za NECTA, tovuti rasmi ya Baraza la Mitihani Tanzania ndiyo chanzo cha kweli na salama kupata taarifa hizo.

Kupitia ukurasa huu wa NECTA 👇
🔗 https://www.necta.go.tz/publications/all#

Utakuta makundi mbalimbali ya machapisho, ikiwemo:

📄 Matangazo rasmi ya mitihani

📝 Mwongozo wa ufundishaji (syllabuses)

🗂️ Waraka na miongozo ya vituo

📊 Ripoti za matokeo na tathmini za kitaifa

🕒 Ratiba za mitihani (timetable)

📘 Majedwali, fomu na taratibu za usajili

Huu ndio ukurasa kamili unaopaswa kutembelea kila mara unapohitaji taarifa sahihi kutoka NECTA.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi na Msaada

🌐 Faulink Official Website
https://www.faulink.com/

📘 Jifunze Web Design & Programming
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support