Jiunge na Mfumo wa Uhasibu Mtandaoni kupitia faulink.com
Mfumo wa Uhasibu (Online Accounting System) ni suluhisho la kisasa linalokuwezesha kusimamia fedha za biashara, kufuatilia mapato na matumizi, na kuandaa ripoti za kifedha kwa urahisi na usahihi. Mfumo huu unasaidia wafanyabiashara, maduka, na taasisi ndogo kusimamia fedha zao bila kutumia daftari la karatasi.
Kupitia mfumo huu unaweza:
Kufuatilia mapato na matumizi ya kila siku
Kuweka record ya mauzo na manunuzi
Kutengeneza ripoti za mapato na hasara
Kudhibiti bajeti ya kila mwezi
Kufuatilia deni na malipo
Kuendesha mfumo kwenye simu au kompyuta
Mfumo ni rahisi kutumia, una usalama wa data, na unapatikana mtandaoni saa 24.
👉 Jiunge na Mfumo wa Uhasibu hapa:
https://faulink.com/uhasibu_login.php
Kwa msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.