jinsi ya kuunda subfolder kwenye hosting yako (kwa mfano Hostinger, cPanel au nyingine yoyote)
Hatua za Kuunda Subfolder (Mfano: `faulink.com/school`)*
1. *Login kwenye hosting yako* (cpanel au hpanel):
- Hostinger: hpanel
- Cpanel: domain.com/cpanel
2. *Fungua “File Manager”*
3. Nenda kwenye *`public_html`*
- Hapo ndipo files zote za website kuu zipo.
4. *Click "New Folder" au "Create Directory"*
- Andika jina la folder mfano `school`
5. Ndani ya hiyo folder (`public_html/school`), weka *file zako*:
- Mfano `index.php` au mfumo wowote wa `PHP`, `HTML`, au `login.php`
6. Basi utaipata kwa:
*`https://faulink.com/school`*
---
*Mambo ya Kuzingatia:*
✅ Hakikisha folder haijazuiwa na `.htaccess`
✅ Unaweza kuiunganisha na database tofauti
✅ Ni sehemu ya domain yako moja, husaidia SEO
✅ Unaweza kuweka AdSense, links, login system ndani yake pia
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.