FAUSTINE MWOYA December 5, 2025 1 min read

Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Bajeti Mtandaoni

Mfumo wa Bajeti (Online Budget System) ni mfumo rahisi unaokusaidia kupanga mapato na matumizi yako ya kila siku, kila mwezi au mwaka. Kupitia mfumo huu unaweza kujua pesa unayoipata, unayoitumia, na kiasi kinachobaki bila kutumia daftari au Excel.

Mfumo huu umeandaliwa kwa watumiaji wanaotaka:

Kutunza rekodi za matumizi (Matumizi)

Kuandika mapato au mshahara

Kupata jumla ya matumizi

Kujua kiasi kilichobaki

Kuangalia matumizi makubwa zaidi

Kupanga bajeti kwa miezi tofauti

Kujiunga ni rahisiβ€”unachohitaji ni ku jaza taarifa zako na kuanza kutumia mfumo mara moja.

πŸ‘‰ Jiunge na Mfumo wa Bajeti hapa:
https://faulink.com/budget_index.php

Mfumo unapatikana mtandaoni saa 24, hivyo unaweza kuuendesha kwenye simu au kompyuta popote ulipo.

Ikiwa unahitaji msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
πŸ“² https://wa.me/255693118509

πŸš€ Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support