IF() Excel – Jifunze Kutumia Masharti Rahisi
Jifunze jinsi ya kutumia IF() katika Excel ili kufanya maamuzi kulingana na sharti fulani. Formula rahisi inayokusaidia kuchambua data na kutoa matokeo tofauti kulingana na hali.
FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:
=IF(A1>50, "Pass", "Fail")
IF ni formula ya Excel inayotoa matokeo mbili kulingana na sharti:
Matokeo ya TRUE ikiwa sharti limekamilika
Matokeo ya FALSE ikiwa sharti halikamiliki
A1>50 ni sharti; unaweza kubadilisha kulingana na data zako.
"Pass" ni matokeo yanapotimiza sharti, "Fail" ni matokeo yanaposhindwa sharti.
Rahisi kukumbuka: “IF = Ikiwa sharti linafikiwa, toa matokeo fulani; la sivyo toa jingine”
Faida: Inakusaidia kufanya maamuzi kiotomatiki ndani ya Excel bila kuingilia mikono.
LINKS NA RESSOURCES:
Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com
Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.