Jisajili ndani ya mfumo, anza siku 1 ya bure automatic, kisha uanze kusimamia members, picha, details za taasisi na kutengeneza ID cards kwa muonekano wa professional.
Ukijisajili tu unapewa access ya siku 1 automatically.
Fomu na layout zinakaa vizuri hadi kwenye small screens.
Form inalindwa kwa CSRF na password hashing.
Baada ya register utaingia kusimamia members na cards zako.
Hii siyo form tu ya kawaida. Ni mlango wa kuingia kwenye mfumo kamili wa kutengeneza na kusimamia ID cards kwa taasisi yako.
Baada ya kujisajili, utaweza kuingia kwenye mfumo. Admin anaweza kuongeza expire date yako baadaye ili account iendelee kuwa active.
Fill in your details to create your account.