Cloud Computing ni Nini? Maelezo kwa Lugha Rahisi
Cloud computing ni kutumia storage na services kupitia mtandao badala ya kompyuta yako. Mfano ni Google Drive, Dropbox, na AWS.
Faida zake ni usalama, upatikanaji popote, na kupunguza gharama.
Mfano:
Shule hutunza matokeo ya wanafunzi kwenye cloud.
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.