Programming haihitaji genius. Inahitaji nidhamu, subira, na mazoezi. Kila mtu anaweza kujifunza.

Mfano:
Wanafunzi wengi wa kawaida wamekuwa developers wakubwa.