Data Science Inatumika Wapi na Kwa Nini Ni Muhimu?
Data science hutumika kuchambua data na kusaidia kufanya maamuzi sahihi. Inatumika kwenye benki, afya, biashara, na serikali.
Mfano:
Supermarket hutumia data science kujua bidhaa zinazonunuliwa sana.
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.