Kulinda App kwa Login (Dashboard Login Example) | HATUA YA 6
Baada ya website yako kuwa PWA/app, ni muhimu kudhibiti access. Hii inamaanisha baadhi ya sehemu (kama dashboard, user data, au settings) lazima ziwe accessible kwa watumiaji waliyo login tu. Hapa tutaonyesha mfano rahisi wa login system kwa PHP, inayoweza ku-handle dashboard kwa user.
1️⃣ HTML Login Form
Login Dashboard
$error2️⃣ Dashboard (Protected Page)
Welcome, = htmlspecialchars($_SESSION['username']) ?>
Hii ni dashboard ya app yako. Hapa unaweza kudhibiti watumiaji, content, na settings.
3️⃣ Logout
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.