Jifunze Kuhusu Error Codes Katika Excel β Sababu na Suluhisho
π Aina Kuu za Error Codes na Maelezo
Error Code Sababu Suluhisho / Formula
#DIV/0! Unajaribu kugawanya namba kwa sifuri (0) =IF(B2=0,"",A2/B2)
#N/A Lookup function haipati matokeo =IFERROR(VLOOKUP(...),"Not Found")
#VALUE! Formula ina type tofauti (text vs number) Hakikisha data ni number au text inayofaa
#REF! Cell reference imeondolewa Rekebisha reference au use =IFERROR(...)
#NAME? Function au reference haijafahamika Angalia spelling ya formula
#NUM! Hesabu haina maana (mfano: sqrt(-1)) Angalia data na formulas zako
#NULL! Invalid intersection ya cells Hakikisha syntax sahihi
π Mfano wa Kutumia IFERROR
=IFERROR(A2/B2, "Error: Check inputs")
Hii inahakikisha error haionekani kwenye sheet, bali inaonyesha ujumbe wa kirafiki.
Inafaa sana kwa reports za kitaalamu.
πΉ Vidokezo vya Kurekebisha Error Codes
Angalia type ya data β text, numbers, dates.
Tumia IFERROR β ili ku-display ujumbe wa kirafiki.
Tumia ISERROR au ISNA β kwa logics maalum za error handling.
Kagua formulas β hakikisha references hazijabadilika.
π Links Za Kujifunza Zaidi
π Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
π Excel Mifumo β Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
π² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509