Jifunze Spreadsheet Katika Excel β Msingi wa Ufanisi
π Vipengele Muhimu vya Spreadsheet
1οΈβ£ Cells
Kila block ndogo kwenye spreadsheet ni cell.
Formula inaweza kuingizwa kwenye cell ili kufanya mahesabu.
2οΈβ£ Rows na Columns
Rows: Safu za mlalo (1, 2, 3β¦)
Columns: Safu za wima (A, B, Cβ¦)
3οΈβ£ Cell Referencing
Relative Reference: =A1+B1 β Inabadilika unapokopa formula.
Absolute Reference: =$A$1+B1 β Reference ya A1 haibadiliki.
Mixed Reference: =$A1+B$1 β Mchanganyiko wa relative na absolute.
π§© Mfano wa Formula Kwenye Spreadsheet
SUM: Jumlisha values
=SUM(B2:B10)
AVERAGE: Pata wastani
=AVERAGE(C2:C10)
VLOOKUP: Tafuta data kwa kulinganisha value
=VLOOKUP(G2,Sheet2!$A$2:$B$6,2,FALSE)
IF: Fanya maamuzi
=IF(A2>50,"Pass","Fail")
π Links Za Kujifunza Zaidi
π Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
π Excel Mifumo β Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
π² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509