Unataka maneno yako yote kwenye Excel yaonekane kwa HERUFI KUBWA? Formula rahisi =UPPER(E2) inaweza kufanya kazi hiyo kwa haraka na kwa usahihi.

πŸ“˜ Formula
=UPPER(E2)

πŸ”Ή Maelezo ya Formula

Inachukua maelezo kutoka seli E2.

Inarudisha maandishi yote kuwa herufi kubwa (uppercase).

πŸ”Ή Mfano Rahisi
E2 =UPPER(E2)
faulink FAULINK
excel blog EXCEL BLOG
vikoba VIKOBA

Formula hii ni bora kwa kuformat headers, maneno muhimu, au data unayotaka ionekane kwa uniform.

πŸ”— Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

πŸ“˜ Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

πŸ“² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509