jinsi ya kubadilisha namba kuwa asilimia kwenye excel | hatua kwa tatua
Mara nyingi unahitaji kubadilisha namba kuwa asilimia au kufanya mahesabu ya uwiano. Formula rahisi =O2/100 inaweza kusaidia.
📘 Maana ya Formula
=O2/100
Inachukua thamani iliyo kwenye seli O2.
Inagawa kwa 100 ili kupata asilimia au uwiano mdogo.
🔹 Mfano:
O2 =O2/100
50 0.5
25 0.25
100 1
Unaweza ku-format seli hiyo kuwa Percentage kwa kuongeza % na kuonyesha 50% badala ya 0.5.
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.