jinsi ya Kutumia RANK na COUNTIF Kuamua Nafasi ya Data (Rank) Kutoka Ndogo Kwenda Kubwa
=RANK(O2,O$2:O$30,1)+COUNTIF(O$2:O2,O2)-1
π Maana ya Formula
RANK(O2, O$2:O$30, 1)
Inarudisha nafasi ya O2 kwenye range O2:O30.
Parameter 1 inamaanisha kutoka ndogo kwenda kubwa (ascending order).
COUNTIF(O$2:O2, O2)-1
Hii inashughulikia ties (duplicate values).
Inahesabu ni mara ngapi value ya O2 imeonekana mpaka sasa na kupunguza 1 ili kuongeza rank sahihi kwa duplicates.
π― Mfano Rahisi
O2 O3 O4 O5 Rank Formula Result
50 30 50 40 3
30 1
50 4
40 2
Formula inahakikisha values sawa hazirudishi rank moja, bali zinapewa rank tofauti inavyotokea.
π Links Za Kujifunza Zaidi
π Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
π Excel Mifumo β Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
π² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509