JINSI YA KUTUMIA RANK KUTOKA NDOGO KWENDA KUBWA (ASCENDING RANK) KATIKA EXCEL
Lakini kwa kawaida, formula ya Excel:
=RANK(AB2,AB$2:AB$30)
hu-panga kutoka KUBWA kwenda NDOGO (Descending).
Leo nitakuonyesha jinsi ya kufanya RANK kutoka NDOGO KWENDA KUBWA (Ascending Rank) kwa urahisi kabisa.
๐ Rank Kutoka Ndogo Kwenda Kubwa โ Formula Sahihi
Ili kupanga matokeo kutoka ndogo kwenda kubwa, tumia formula hii:
=RANK(AB2,AB$2:AB$30,1)
๐ต Maana ya โ1โ mwishoni:
Inaambia Excel kupanga ascending (ndogo โ kubwa).
๐ Mfano:
Ukiwa na alama au gharama kwenye safu ya AB2:AB30
Mwanafunzi mwenye alama ndogo zaidi atapata Rank 1
Anayefuata atapata Rank 2, na kuendelea
๐ก Hii Inasaidia Wapi?
โ Kuamua mwanafunzi mwenye alama ndogo (kwa mitihani ya kupimiwa chini)
โ Kuweka matokeo ya wiki au mwezi kutoka chini kwenda juu
โ Kuchambua gharama katika mfumo wa usimamizi
โ Kupanga kiasi cha michango ya vikoba kutoka mdogo kwenda mkubwa
โ Kupanga kiwango cha risk katika finance models
๐ Kwa Nini Ufahamu Huu Ni Muhimu Kwenye Mifumo?
Kwenye tovuti kama Faulink Systems, tunatengeneza:
๐ https://www.faulink.com/
๐ https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Mifumo mingi hutumia ranking logic kupanga taarifa kiotomatikiโhasa katika:
Mauzo
Vikoba
Matumizi (Expenditures)
Madarasa na Tathmini ya Wanafunzi
Miradi ya Ofisini
Hivyo formula hii ni muhimu kama sehemu ya msingi ya uchambuzi.
๐ Unahitaji Kujifunza Zaidi au Kufundishwa Moja kwa Moja?
Wasap moja kwa moja hapa:
๐ https://wa.me/255693118509
Naweza kukusaidia kutengeneza:
Mifumo ya Excel
Dashboards
Mifumo ya shule
Mifumo ya mauzo
Mifumo ya vikoba
Training za Excel Basic โ Advanced