AVERAGEIF() – Pata Wastani Kulingana na Sharti Excel
Jifunze jinsi ya kupata wastani wa seli zinazokidhi sharti fulani katika Excel. Formula rahisi inayokusaidia kuchambua data kwa usahihi zaidi.
FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:
=AVERAGEIF(A1:A10, ">50")
AVERAGEIF ni formula ya Excel inayopata wastani wa seli zinazokidhi sharti moja.
A1:A10 ni safu ya seli unazotaka kuchambua.
">50" ni sharti; hapa, inapata wastani wa seli zenye nambari kubwa kuliko 50.
Formula hii haitahesabu seli zilizo tupu au zisizo na nambari.
Rahisi kukumbuka: “AVERAGEIF = Wastani Kwa Sharti”.
Unaweza pia kutumia masharti tofauti, kama:
"=Yes" – wastani wa seli zenye maandiko “Yes”
"<100" – wastani wa seli zilizo chini ya 100
LINKS NA RESSOURCES:
Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com
Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.