“Faulink IT wamenitengenezea mfumo wa duka unaonisaidia kujua stock, mauzo na faida kwa urahisi. Mfumo ni fast na support yao iko vizuri sana.”
“Tumetumia mfumo wa kuingiza matokeo na kutengeneza report cards. Kazi imekuwa rahisi, errors zimepungua na ripoti zinatoka kwa haraka.”
“Website yangu imeonekana professional na imeanza kupata wateja. SEO basics walinisaidia na sasa naonekana vizuri kwenye Google.”
“Nilihitaji system ya kufuatilia mapato na matumizi. Faulink walinielewa haraka na walileta solution safi sana, responsive na rahisi kutumia.”
Unataka system/website ya kitaalamu kama hawa?
Wasiliana nasi upate ushauri wa haraka, bei, na roadmap ya project yako. Tunafanya solutions zinazo-scale na zinazoonekana professional.