Karibu kwenye Faulink IT. Kwa kutumia website hii (Faulink.com), mifumo, kozi au huduma zetu, unakubali masharti haya ya matumizi.
1. Matumizi ya Huduma
Unakubali kutumia huduma zetu kwa njia halali, bila kuvunja sheria, kudhuru wengine au kutumia mfumo vibaya.
2. Akaunti ya Mtumiaji
Mtumiaji anawajibika kulinda taarifa za akaunti yake (username na password). Faulink IT haiwajibiki kwa matumizi mabaya ya akaunti yako.
3. Hakimiliki (Copyright)
Content yote (text, code, videos, designs) ni mali ya Faulink IT isipokuwa kama imeelezwa vinginevyo. Hairuhusiwi kunakili bila ruhusa.
4. Malipo na Huduma za Kibiashara
Kama kuna huduma za kulipia, mtumiaji anakubali masharti ya malipo, refunds na service delivery kama yalivyoelezwa kwenye kila huduma.
5. Ukomo wa Uwajibikaji (Liability)
Faulink IT haitawajibika kwa hasara yoyote inayotokana na matumizi ya taarifa au huduma zilizopo kwenye website.
6. Kusitisha Huduma
Tuna haki ya kusitisha au kufunga akaunti yoyote itakayokiuka masharti haya bila notisi.
7. Mabadiliko ya Masharti
Tunaweza kubadilisha masharti haya muda wowote. Mabadiliko yataonekana kwenye ukurasa huu.
8. Mawasiliano
Kama una swali kuhusu masharti haya, wasiliana nasi:
Email: support@faulink.com
WhatsApp: +255 693 118 509