Tunatengeneza custom systems, websites, na suluhisho za kidigitali zinazoongeza ufanisi, kupunguza makosa, na kuifanya taasisi au biashara yako ikue kwa uhakika.
Huu ni muongozo rasmi unaoeleza hatua zote za kuagiza mfumo au website kutoka FAULINK Tech Solution — kuanzia mawasiliano, uchambuzi wa mahitaji, makubaliano, development, testing, hadi deployment na support ya baadae. Pakua PDF hii ili uelewe mchakato wetu wa kitaalamu.
Faulink Tech Solution ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za utengenezaji wa mifumo ya kisasa (custom software systems), website development, na suluhisho za kidigitali kwa taasisi, makampuni, na biashara ndogo/za kati.
Tunajitolea kutoa huduma zenye ubora na usalama wa data ili kusaidia wateja wetu kufikia malengo yao kwa njia ya kidigitali. Tunathamini uaminifu, ubunifu, na weledi katika kila mradi.
Tunatengeneza mifumo na websites zenye muonekano wa premium, performance ya juu, na usalama wa data.
Tunatumia mfumo rasmi wa kitaalamu kuhakikisha kila mradi unakamilika kwa ubora wa juu.
Tunahudumia taasisi na biashara zinazohitaji mifumo ya kisasa na websites zenye ufanisi.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu huduma na miradi ya Faulink.
Tupo Dar es Salaam, Tanzania. Wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp — au jaza form ili tupange consultation.