Mfumo wa Mauzo (Sales System) kwa Biashara Ndogo Tanzania
Mfumo wa mauzo ni moyo wa biashara yoyote. Bila mfumo mzuri wa kurekodi mauzo, mfanyabiashara hawezi kujua faida, hasara, bidhaa zinazoongoza au wateja wake wanunua nini zaidi.
Biashara nyingi ndogo Tanzania bado zinatumia daftari au Excel, jambo linalosababisha:
Kupoteza rekodi
Makosa ya hesabu
Kushindwa kujua faida halisi
Kwa kutumia PHP na MySQL, unaweza kutengeneza Sales System ya kisasa inayohifadhi mauzo yote kwenye database na kutoa ripoti kiotomatiki.
Katika Faulink Systems Portal, mfumo wa mauzo unaruhusu:
Kuongeza bidhaa
Kurekodi mauzo
Kuhesabu faida
Kuona ripoti za siku, mwezi na mwaka
Muundo wa Table ya Products
CREATE TABLE products (
id INT AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY,
product_name VARCHAR(100),
buying_price INT,
selling_price INT,
stock INT
);
Muundo wa Table ya Sales
CREATE TABLE sales (
id INT AUTO_INCREMENT PRIMARY KEY,
product_id INT,
quantity INT,
total_price INT,
sale_date DATE
);
Kurekodi Mauzo
$total_price = $selling_price * $quantity;
$stmt = $pdo->prepare("INSERT INTO sales(product_id,quantity,total_price,sale_date) VALUES(?,?,?,?)");
$stmt->execute([$product_id,$quantity,$total_price,date('Y-m-d')]);
Kupunguza Stock Kiotomatiki
$new_stock = $stock - $quantity;
$stmt = $pdo->prepare("UPDATE products SET stock=? WHERE id=?");
$stmt->execute([$new_stock,$product_id]);
Kuhesabu Faida
$profit = ($selling_price - $buying_price) * $quantity;
Jumla ya Mauzo ya Siku
$stmt = $pdo->prepare("SELECT SUM(total_price) FROM sales WHERE sale_date=?");
$stmt->execute([date('Y-m-d')]);
$today_sales = $stmt->fetchColumn();
Jumla ya Faida ya Mwezi
$stmt = $pdo->prepare("
SELECT SUM((p.selling_price - p.buying_price) * s.quantity)
FROM sales s
JOIN products p ON s.product_id = p.id
WHERE MONTH(s.sale_date)=MONTH(CURDATE())
");
$stmt->execute();
$monthly_profit = $stmt->fetchColumn();
Kuonyesha Ripoti
echo "
<h3>Sales Report</h3>
Total Sales Today: $today_sales <br>
Monthly Profit: $monthly_profit
";
Kwa kutumia mfumo huu, mfanyabiashara anaweza:
Kujua bidhaa gani zinauzika zaidi
Kudhibiti stock
Kufanya maamuzi sahihi ya biashara
Kupata ripoti za kitaalamu bila stress
Faulink Sales System imeundwa mahsusi kwa mazingira ya biashara za Tanzania, ikiwa rahisi kutumia hata kwa mtu asiye mtaalamu wa IT.
Kwa mifumo zaidi ya biashara na shule, tembelea:
https://faulink.com
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.