Mfumo wa Malipo wa ClickPesa wenye Admin Approval kwa PHP na MySQL – Jinsi ya Kutengeneza Payment System Professional kwa Website ya Shule | Faulink.com
Jifunze jinsi ya kutengeneza mfumo wa malipo wa ClickPesa wenye admin approval kwa kutumia PHP, MySQL, Bootstrap na API ya ClickPesa. Mfumo huu unaruhusu user kulipa kwanza, admin kuapprove malipo, kuweka expiration date, kuactivate account, kuonyesha plan, amount, paid date, na expiration...
Read Full Post