Jinsi ya Kusaini PDF Online Bure (Add Signature kwenye PDF 2026)
Jinsi ya Kusaini PDF Online
Mara nyingi unaweza kuwa na PDF document kama:
Contract
Fomu za maombi
Barua za kazi
Makubaliano ya biashara
Lakini unahitaji kuweka sahihi (signature) kabla ya kuituma. Kwa kutumia tools za online unaweza kusaini PDF haraka bila kuchapisha (print).
Pia unaweza kupata mifumo mbalimbali ya Excel bure kupitia website yetu:
๐ https://www.faulink.com
๐ https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Step 1: Tumia Smallpdf Kusaini PDF
Smallpdf ni tool maarufu sana kwa kuongeza signature kwenye PDF.
Link ya Tool
https://www.smallpdf.com/sign-pdf
Hatua za kutumia
Fungua link hapo juu
Upload PDF file yako
Chagua Add Signature
Chora sahihi yako au upload image ya sahihi
Download PDF iliyosainiwa
Tembelea pia
๐ https://www.faulink.com
Step 2: Tumia iLovePDF Kusaini PDF
iLovePDF ni tool rahisi sana kwa kusaini PDF.
Link ya Tool
https://www.ilovepdf.com/sign-pdf
Hatua
Fungua website
Upload PDF document
Ongeza signature
Pakua PDF mpya
Pata pia mifumo ya Excel
๐ https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Step 3: Tumia PDF24 Tools Kusaini PDF
PDF24 Tools ni tool nzuri sana kwa kazi za PDF.
Link ya Tool
https://tools.pdf24.org/en/sign-pdf
Hatua
Fungua link
Upload PDF file
Chora au upload signature
Save PDF mpya
Tembelea pia
๐ https://www.faulink.com
Faida za Kusaini PDF Online
Kusaini PDF online husaidia:
Kusaini document bila printer
Kutuma contract haraka kwa email
Kuokoa muda na gharama
Kurahisisha makubaliano ya biashara
Pata Mifumo Bora ya Excel Bure
Kama unatafuta mifumo ya Excel kama:
Mfumo wa mikopo
Mfumo wa biashara
Mfumo wa mahudhurio
Mfumo wa hesabu
Tembelea hapa:
๐ https://www.faulink.com/excel_mifumo.php