FAUSTINE MWOYA March 7, 2026 2 min read MIFUMO

Jinsi ya Kuongeza Page au File Kwenye PDF (Merge PDF Files Online Bure 2026)

Wakati mwingine unaweza kuwa na PDF mbili au zaidi na unahitaji kuziunganisha kuwa PDF moja. Hii inaitwa Merge PDF au kuongeza page kwenye PDF.

Njia hii ni muhimu sana kwa watu wanaotuma nyaraka kwenye mifumo kama:

Ajira

NHIF

TRA

Vyuo

Maombi ya kazi

Pia unaweza kupata mifumo mbalimbali ya Excel bure kupitia:

👉 https://www.faulink.com

Step 1: Tumia Smallpdf Kuunganisha PDF

Smallpdf ni moja ya website maarufu sana kwa kuunganisha PDF files.

Link ya Tool

https://www.smallpdf.com/merge-pdf

Hatua za kutumia

Fungua link hapo juu

Bonyeza Merge PDF

Upload PDF files zako

Panga order ya pages

Bonyeza Merge

Download PDF mpya

Tembelea pia

👉 https://www.faulink.com

Step 2: Tumia iLovePDF Kuongeza Pages Kwenye PDF

iLovePDF ni tool nyingine rahisi kutumia.

Link ya Tool

https://www.ilovepdf.com/merge_pdf

Hatua

Fungua link

Upload PDF files zako

Panga order ya pages

Bonyeza Merge PDF

Pakua PDF mpya

Pata pia mifumo ya Excel

👉 https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Step 3: Tumia PDF24 Tools Kuunganisha PDF

PDF24 Tools ni tool nzuri sana kwa kazi za PDF.

Link ya Tool

https://tools.pdf24.org/en/merge-pdf

Hatua

Fungua website

Upload PDF files

Arrange pages

Merge PDF

Download file

Tembelea pia

👉 https://www.faulink.com

Faida za Kuunganisha PDF Files

Kuunganisha PDF husaidia:

Kutuma nyaraka zote kwenye file moja

Kurahisisha upload kwenye mifumo ya serikali

Kupunguza idadi ya files

Kuweka documents kwa mpangilio mzuri

Pata Mifumo Bora ya Excel Bure

Kama unatafuta mifumo ya Excel kama:

Mfumo wa mikopo

Mfumo wa biashara

Mfumo wa mahudhurio

Mfumo wa hesabu

Tembelea hapa:

👉 https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

3
test April 12, 2026 at 10:58 pm
test'
test' April 12, 2026 at 10:58 pm
test
test April 12, 2026 at 10:58 pm
test

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support