Jinsi ya Kuangalia Michango ya NSSF Online
Unataka kujua jinsi ya kuangalia michango yako ya NSSF online Tanzania? Fuata hatua hizi rahisi.
Kwa mafunzo zaidi tembelea 👉 https://faulink.com
Hatua ya 1: Ingia Kwenye Mfumo wa NEST
Fungua mfumo wa NEST (NSSF Electronic Services).
Kwa maelezo zaidi tembelea 👉 https://faulink.com
Hatua ya 2: Ingia Kwenye Account Yako
Tumia username na password kuingia kwenye akaunti yako.
Kwa maelezo zaidi tembelea 👉 https://faulink.com
Hatua ya 3: Angalia Michango
Chagua sehemu ya Contribution Statement ili kuona michango yako.
Kwa maelezo zaidi tembelea 👉 https://faulink.com
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.