Jinsi ya Kubadilisha PDF Kuwa Word Kirahisi na Haraka
Moja ya njia rahisi na salama ni kutumia Adobe Acrobat – Create PDF tool. Huduma hii inakuwezesha kubadilisha PDF kuwa Word kwa hatua chache sana bila kupoteza maandishi muhimu, vichwa vya habari au mpangilio wa kurasa.
🔹 Faida za Kutumia Adobe Acrobat PDF to Word
Huhifadhi maandishi (text) kwa usahihi
Jedwali (tables) hubaki vizuri
Rahisi kutumia hata kwa beginner
Inafaa kwa syllabus, notes na documents rasmi
Baada ya kubadilisha PDF kuwa Word, unaweza kuendelea ku-edit, ku-print au kugawana faili kwa urahisi zaidi.
🔗 Muhimu Links
Adobe Acrobat – PDF to Word
https://acrobat.adobe.com/createpdf
Faulink (Elimu & Mifumo ya Shule)
https://faulink.com