Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA December 11, 2025 2 min read

Jinsi ya Kutumia Google AdSense Auto Ads na Ku-Exclude Pages Fulani

Google AdSense Auto Ads ni njia rahisi ya kuongeza mapato bila kupanga maeneo ya matangazo manually. Unachofanya ni kuweka code moja tu kwenye

ya website yako, kisha Google itaamua wapi pa kuweka ads zenye performance nzuri zaidi. Lakini wakati mwingine hutaki matangazo yaonekane kwenye kurasa fulani kama: Login Pages Dashboard ya Member Download pages Pages za siri au sensitive Pages unazotaka zikae safi bila ads Kwa hiyo leo nitakuonyesha hatua kamili + code tayari kutumia. 🔹 Hatua 1 — Weka Auto Ads Code kwenye

ya Website Pakua Auto Ads code kutoka AdSense AdSense ⇒ Ads ⇒ By site ⇒ Get code Kisha bandika ndani ya

ya theme au website yako: Badilisha ca-pub-xxxxxxxxxxxx kwa Publisher ID yako. 🔹 Hatua 2 — Tumia Code ya Ku-Block Auto Ads kwenye Kurasa Fulani Google ina tag inayoitwa: Ukibandika hii juu ya Auto Ads code, inazuia matangazo yote. Hivyo tunafanya hivi: 🔧 Mfano wa kuzuia Auto Ads kwenye pages maalum (PHP) Bandika kwenye header.php kabla ya Auto Ads code: window.adsbygoogle = window.adsbygoogle || []; adsbygoogle.pauseAdRequests = 1;'; } ?> ➡️ KISHA weka Auto Ads code kama kawaida chini yake: 👉 Matokeo: Hakuna ads kwenye pages ulizoandika. Pages zingine zote zitapokea Auto Ads normally. 🔹 Hatua 3 — Ku-Exclude Pages Kwa Kutumia Kama hutumii PHP, unaweza kutumia no-ads tag: Bandika kwenye

ya pages ambazo hutaki zipokee ads. Mfano: login page bila ads:

Login

Google wana-scan tag hii automatically na hawataonyesha matangazo.

🔹 Hatua 4 — Vidokezo Muhimu vya SEO & AdSense

Usizime ads kwenye makala (articles) — hapa ndipo zinapata mapato mengi.

Zima kwenye login, dashboard, admin, download pages.

Content isiwe na policy issues ili kuepuka “Limited Ads”.

Hakikisha tovuti ina privacy policy + cookies notice.

🔗 Links Muhimu

Faulink: https://faulink.com

Mauzo Login: https://faulink.com/mauzologin.php

Mikopo Login: https://faulink.com/mikopologin.php

Code Register/Login: https://faulink.com/code_register_login.php

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions