Mifumo ya Excel (Excel Management Systems) ni suluhisho rahisi kwa wanafunzi, walimu, na wamiliki wa biashara ndogo kutumia Excel kwa ajili ya kupanga, kusimamia na kuhesabu data. Kupitia mifumo hii unaweza kuunda bajeti, matokeo, mikopo, mauzo, au uhasibu kwa urahisi bila kuandika formulas nyingi kutoka mwanzo.

Kupitia mfumo huu unaweza:

Kuunda bajeti za kila mwezi au mwaka

Kurekodi matokeo ya wanafunzi

Kufuatilia mikopo na marejesho

Kurekodi mauzo na mapato

Kufuatilia matumizi na deni

Kutengeneza ripoti kwa urahisi

Mfumo huu ni rahisi kutumia, una templates tayari, na unapatikana mtandaoni kwa download mara moja.

👉 Pakua mifumo ya Excel hapa:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Kwa msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509