Mfumo wa Mauzo (Online Sales Management System) ni mfumo unaokusaidia kusimamia mauzo ya bidhaa na huduma kwa urahisi, ndani ya biashara ndogo, za kati au vikundi. Kupitia mfumo huu unaweza kurekodi mauzo, kuangalia bidhaa zinazouzwa zaidi, na kupata ripoti kamili za mapato kwa muda halisi.

Mfumo huu unakuwezesha:

Kuongeza bidhaa na bei zake

Kurekodi mauzo kwa kila siku

Kufuatilia mapato kwa wiki, mwezi au mwaka

Kujua bidhaa zinazouzwa zaidi

Kutengeneza ripoti ya mauzo kwa wakati

Kuweka discount na offers

Kuendesha kwa simu au kompyuta

Mfumo ni rahisi kutumia, unapatikana mtandaoni saa 24, na unahifadhi taarifa zako salama kwenye database.

👉 Ingia au jiunge na Mfumo wa Mauzo hapa:
https://faulink.com/mauzologin.php

Kwa msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509