Mfumo wa Bajeti (Online Budget System) ni mfumo rahisi unaokusaidia kupanga mapato na matumizi yako ya kila siku, kila mwezi au mwaka. Kupitia mfumo huu unaweza kujua pesa unayoipata, unayoitumia, na kiasi kinachobaki bila kutumia daftari au Excel.

Mfumo huu umeandaliwa kwa watumiaji wanaotaka:

Kutunza rekodi za matumizi (Matumizi)

Kuandika mapato au mshahara

Kupata jumla ya matumizi

Kujua kiasi kilichobaki

Kuangalia matumizi makubwa zaidi

Kupanga bajeti kwa miezi tofauti

Kujiunga ni rahisi—unachohitaji ni ku jaza taarifa zako na kuanza kutumia mfumo mara moja.

👉 Jiunge na Mfumo wa Bajeti hapa:
https://faulink.com/budget_index.php

Mfumo unapatikana mtandaoni saa 24, hivyo unaweza kuuendesha kwenye simu au kompyuta popote ulipo.

Ikiwa unahitaji msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509