Ikiwa unahitaji matokeo ya NECTA kwa ngazi mbalimbali kama PSLE, FTNA, CSEE, ACSEE, QT, GATCE, GATSCCE na nyinginezo, unaweza kuyapata moja kwa moja kupitia ukurasa rasmi wa matokeo wa NECTA hapa πŸ‘‡

πŸ”— https://www.necta.go.tz/pages/results

Katika ukurasa huu utapata:

πŸ§’ Matokeo ya Darasa la Saba (PSLE)

πŸ§‘β€πŸŽ“ Matokeo ya Kidato cha Pili (FTNA)

πŸŽ“ Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE)

πŸŽ“ Matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE)

πŸ“˜ Matokeo ya QT, GATCE, GATSCCE

🏫 Matokeo ya shule zote nchini

πŸ” Utafutaji wa matokeo kwa jina la shule au namba ya mtahiniwa

Hii ndiyo link sahihi na salama ya NECTA kwa ajili ya matokeo ya mitihani yote.

πŸ”— Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website
https://www.faulink.com/

πŸ“˜ Jifunze Web Design & Programming
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

πŸ“² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka
https://wa.me/255693118509