Kuongeza Progressive Web App (PWA) Features ili Website Iwe App Kamili | HATUA YA 5
Katika hatua hii tunabadili website kuwa Progressive Web App (PWA) ili ionekane kama app ya simu, iweke ICON kwenye home screen, ifunguke full-screen, na kufanya kazi hata bila intaneti (offline).
PWA ni njia ya bure kabisa kugeuza website kuwa app bila kutumia Play Store.
✅ 🔵 Hatua ya 3: Ongeza Manifest.json + Service Worker
Hii ndiyo hatua muhimu zaidi ya kuibadilisha website kuwa app.
🔹 STEP 1: Unda manifest.json File
👉 Tengeneza file jipya kwenye root ya website:
manifest.json
{
"name": "Faulink - Official App",
"short_name": "Faulink",
"start_url": "/",
"display": "standalone",
"background_color": "#ffffff",
"theme_color": "#0d6efd",
"description": "Faulink Official Progressive Web App",
"icons": [
{
"src": "icons/icon-192.png",
"sizes": "192x192",
"type": "image/png"
},
{
"src": "icons/icon-512.png",
"sizes": "512x512",
"type": "image/png"
}
]
}
MUHIMU:
✔ Tengeneza folder: /icons/
✔ Weka icon 192×192 na 512×512
🔹 STEP 2: Unganisha Manifest kwa Header ya Website
Katika
ya website yako (mfano index.php) weka hizi code: Hii inaiambia browser kuwa site inaweza kuwa app. 🔹 STEP 3: Unda service-worker.js Hiki ndicho kinawezesha offline mode + caching. service-worker.js self.addEventListener("install", event => { event.waitUntil( caches.open("faulink-cache").then(cache => { return cache.addAll([ "/", "/index.php", "/css/style.css", "/js/main.js", "/icons/icon-192.png", "/icons/icon-512.png" ]); }) ); }); self.addEventListener("fetch", event => { event.respondWith( caches.match(event.request).then(response => { return response || fetch(event.request); }) ); }); 🔹 STEP 4: Sajili Service Worker (Register) Weka hii script mwishoni mwa
ya website:
🔹 STEP 5: Test App Yako
🧪 Test A:
Fungua website kupitia Chrome (Android)
Click dots (â‹®)
Chagua Add to Home Screen
App itaonekana na ICON kama application ya simu
🧪 Test B:
✔ Funga intaneti
✔ Fungua app
👉 Pages ulizotembelea zitafunguka bila net (offline)
👌 Baada ya Hatua ya 3, sasa website yako ni App kamili!
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi
🌠Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
📘 Jifunze Web Design & Programming:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.