Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA November 19, 2025 2 min read

Jinsi ya Kubold Maneno Katika HTML kwa Kutumia <b>, <strong> na CSS

Kubold (kufanya maandishi yawe mazito na kusimama) ni moja ya mambo ya msingi katika HTML. Hutumika kusisitiza sehemu muhimu za maandishi kama vichwa, maneno muhimu, au tahadhari.

Katika HTML kuna njia kuu tatu za kubold:

✅ 1. Kutumia

Tag (Bold ya Muonekano Tu) hutumika kubold maandishi bila kutoa maana ya kisemantiki (semantic). Ni kwa ajili ya muonekano tu. CODE:

Haya ni maneno yaliyobold kwa kutumia b tag.

✅ 2. Kutumia

(Bold + Umuhimu) sio tu inabold maandishi, bali pia inaonyesha kuwa maneno hayo ni muhimu au ya msisitizo zaidi kwa browsers na screen readers. CODE:

Haya ni maneno muhimu yaliyobold.

✅ 3. Kutumia CSS (Njia ya Kisasa na Kitaalamu) Unaweza kubold maandishi kwa kutumia CSS property font-weight. Bold ya kawaida:

Haya ni maneno yaliyobold kwa CSS.

Bold nzito zaidi (700+):

Hii ni bold nzito sana.

📝 Tofauti Kati ya na Tag Kazi Umuhimu Kubold kwa muonekano Haina maana maalum Kubold + kuonesha umuhimu Bora kwa SEO na accessibility 🎯 Ni Lini Utumie Bold? Kusisitiza neno muhimu Kuweka vichwa vidogo vya sehemu Kuonesha tahadhari Kuonyesha maneno ya kiufundi au vipengele muhimu 🔗 Links Za Kujifunza Zaidi 🌐 Faulink Official Website: https://www.faulink.com/ 📘 Jifunze Web Design & Programming (Tutorials / Mifumo): https://www.faulink.com/excel_mifumo.php 📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka: https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions