π° Mfumo Bora wa Usimamizi wa VIKOBA Tanzania β Faulink.com
β Faida Kuu za Mfumo wa VIKOBA wa Faulink
1. π₯ Usajili wa Wanachama
Sajili majina, namba za simu, jinsia na taarifa za kila mwanachama.
Unda vikundi vingi vya VIKOBA tofauti kwa akaunti moja.
Kila mwanachama anaweza kutumiwa ujumbe wa taarifa zake (optional via SMS).
2. π΅ Michango (Savings)
Weka michango ya kila wiki/mwezi kwa kila mwanachama.
Angalia wanachama waliolipa na wasiolipa kwa kipindi chochote.
Hesabu jumla ya michango yote kwa kikundi.
3. π³ Mikopo na Marejesho
Toa mikopo kwa wanachama na weka masharti kama: riba, tarehe ya kurudisha.
Rekodi marejesho hatua kwa hatua hadi mkopo ukamilike.
Angalia waliochelewa kulipa na kiasi walichobakiza.
4. π Ripoti na Taarifa
Pata ripoti kamili za:
Michango ya kila mwanachama
Mikopo na marejesho
Mapato na matumizi ya kikundi
Faida iliyopatikana mwisho wa mzunguko
Taarifa hizi zinaweza kuchapishwa au kuhamishwa kwa PDF/Excel.
5. π Usalama wa Taarifa
Kila kikundi kina nenosiri la kuingia.
Hakuna taarifa zinapotea, hata simu au kompyuta ikiharibika.
Mfumo unatumia database salama kabisa.
π Inafaa kwa:
Vikundi vya VICOBA vya mtaani au kijijini
VICOBA vya wafanyakazi, walimu, bodaboda, wauza sokoni, n.k.
Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanayosaidia wanavikoba
Vikundi vya kina mama, vijana, au vikundi vya kiroho
π² Matumizi Rahisi β Hata kwa Simu
Mfumo unapatikana mtandaoni (online) kupitia https://faulink.com
Inafanya kazi kwenye simu ya mkononi, tablet au kompyuta
Huna haja ya app β fungua kwenye browser kama Google Chrome
π₯ Mafunzo ya YouTube
Tazama video jinsi ya kutumia mfumo wa VIKOBA kupitia channel yetu rasmi:
πΊ Faulink - YouTube
π Wasiliana Nasi Leo
βοΈ Simu: +255 693 118 509
π¬ WhatsApp: Bonyeza hapa kuwasiliana
π Tovuti: https://faulink.com
π Jiunge na Mfumo wa VIKOBA Faulink Leo
Epuka makaratasi na matatizo ya kupoteza taarifa.
Pata mfumo rahisi, salama, na wa kisasa kwa kikundi chako.
π Tembelea sasa: https://faulink.com
Faulink β Tunadigitalisha Maisha ya Vikundi vya VICOBA Tanzania.