Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA November 18, 2025 2 min read

Jinsi ya Kutengeneza SEO-Friendly HTML Tags

Jifunze jinsi ya kutengeneza HTML tags zinazoboreshwa kwa SEO (Search Engine Optimization) ili kurahisisha websites zako kuonekana vizuri kwenye search engines. HTML sahihi inasaidia crawlability, readability, na ranking ya website yako.

Mfano wa Code na Best Practices:

Title Tag

Inapaswa kuwa unique kwa kila page na kuwa concise.

Jinsi ya Kutengeneza SEO-Friendly HTML Tags | Faustine Web Tips

Meta Description

Summary ya page, length ~150–160 characters.

Headings (H1-H6)

Tumia headings kwa hierarchy sahihi. Kila page ianze na

.

Jinsi ya Kutengeneza SEO-Friendly HTML Tags

Meta Tags

Title Tag

Meta Description

Alt Attributes kwa Images Tumia alt kwa images kwa accessibility na SEO. Faulink Logo - Web Design Tutorials Semantic HTML Elements Tumia ,

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions