Jinsi ya Kutengeneza Manifest.json kwa PWA
Mfano wa Manifest.json:
{
"name": "Mfano PWA App",
"short_name": "MfanoPWA",
"description": "Hii ni PWA ya mfano kwa website yako",
"start_url": "/index.html",
"display": "standalone",
"background_color": "#ffffff",
"theme_color": "#3498db",
"orientation": "portrait",
"icons": [
{
"src": "/icons/icon-72x72.png",
"sizes": "72x72",
"type": "image/png"
},
{
"src": "/icons/icon-192x192.png",
"sizes": "192x192",
"type": "image/png"
},
{
"src": "/icons/icon-512x512.png",
"sizes": "512x512",
"type": "image/png"
}
]
}
Maelezo ya Code:
name na short_name: Jina la app na jina fupi linaloonekana kwenye home screen.
start_url: Page inayoanza wakati app inafunguliwa.
display: standalone inafanya app ionekane bila browser UI.
background_color na theme_color: Rangi za background na theme za app.
icons: Icons za app kwa sizes tofauti, muhimu kwa display kwenye devices.
orientation: Inaweza kuwa portrait au landscape kulingana na design ya app.
Jinsi ya Ku-link Manifest kwenye HTML:
<link rel="manifest" href="/manifest.json">
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi:
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
📘 Jifunze Web Design & Programming (Tutorials / Mifumo):
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509