Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA November 18, 2025 1 min read

Jinsi ya Kutengeneza Text Typing Animation kwa JS

Jifunze jinsi ya kuunda text typing animation inayofanana na maandiko yanayoandikwa moja baada ya nyingine kwenye screen. Animation hii inafanya website yako ionekane interactive na dynamic, na inaweza kutumika kwa headings, intros, au hero sections.

Mfano wa Code (Simple JS Typing Effect):

Text Typing Animation

Maelezo ya Code:

textElement.innerHTML += message.charAt(index); inaongeza character moja baada ya nyingine.

setTimeout(type, 100); inadhibiti speed ya typing (100ms kwa kila character).

.cursor na @keyframes blink inaunda blinking cursor effect kama typing editor.

Unaweza kubadilisha message, font, na speed ili ifanye website yako kuwa interactive zaidi.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi:
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

📘 Jifunze Web Design & Programming (Tutorials / Mifumo):
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions