Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA November 18, 2025 1 min read

Jinsi ya Kutengeneza Animated Loading Spinners

Jifunze jinsi ya kuunda animated loading spinners kwa CSS na JS ili kuongeza feedback kwa watumiaji wakati content ya website yako ina load. Loading spinners hufanya website yako ionekane professional na interactive, badala ya kuacha blank screen.

Mfano wa Code (CSS Spinner):

Animated Loading Spinner

CSS Animated Loading Spinner

Maelezo ya Code:

.spinner ni circle yenye border, na border-top ni rangi ya kuzunguka.

@keyframes spin inazungusha spinner 360° mara kwa mara (infinite).

Unaweza kubadilisha ukubwa, rangi, au speed (1s) ili kuendana na design ya website.

Mfano wa JS Spinner (Optional):

Spinner itaonekana wakati page inaloading na kuondoka baada ya content kuonekana.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi:
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

📘 Jifunze Web Design & Programming (Tutorials / Mifumo):
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions