Tags ni maneno au misemo mafupi yanayotumika kuainisha maudhui kwenye blog au website. Yanafanana na keywords, lakini hutumika zaidi ndani ya site ili kusaidia wasomaji na search engines kupata posts zinazohusiana.

๐Ÿ”น Faida za Tags

Kufanya navigation iwe rahisi

Wasomaji wanaweza kubofya tag maalumu kuona posts zote zinazohusiana na neno hilo.

Kuongeza SEO

Search engines zinapenda websites zilizo na structure nzuri na tags zinazohusiana na content.

Kuhifadhi Content Organized

Inasaidia blog admin kuainisha posts kwa mada, niche, au topic.

๐Ÿ”น Mfano wa Tags

Blog ya Excel: Excel, Formulas, Functions, Tips

Blog ya YouTube: Subscribers, Views, Monetization

Blog ya Coding: PHP, JavaScript, HTML, CSS

๐Ÿ”น Vidokezo Muhimu

Usitumie tags nyingi sana; chagua 3โ€“10 tags zinazohusiana na content.

Tags zifanane na keywords kwenye post.

Weka tag links ili msomaji abofye na kuona posts zote zinazohusiana.

๐Ÿ”— Links Za Kujifunza Zaidi

๐ŸŒ Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

๐Ÿ“˜ Excel Mifumo โ€“ Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

๐Ÿ“ฒ Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509