Mfumo wa Matokeo – Rahisi, Haraka na Sahihi
Kurekodi matokeo ya mitihani na kazi za darasani
Kuhesabu wastani, daraja na nafasi za wanafunzi
Kutengeneza report card na ripoti za darasa
Kuonyesha matokeo online kwa wanafunzi, wazazi na walimu
Faida kuu ya kutumia mfumo wa matokeo ni kwamba hupunguza makosa ya binadamu, huharakisha utoaji wa matokeo, na hutoa uwazi katika usimamizi wa elimu. Mfumo huu ni muhimu kwa shule, vyuo na taasisi za mafunzo zinazohitaji ripoti sahihi na haraka.
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509