Mfumo wa ratiba ni mfumo wa kidigitali unaotumika kupanga na kusimamia vipindi au shughuli mbalimbali kwa mpangilio sahihi na bila migongano. Badala ya kutumia karatasi au kupanga ratiba kwa kubahatisha, mfumo huu hurahisisha kupanga walimu, masomo, madarasa na muda wa vipindi kwa usahihi mkubwa.

Faida kubwa ya mfumo ni kwamba huokoa muda, hupunguza makosa, hurahisisha kufanya marekebisho, na hutengeneza ratiba inayosomeka vizuri kwa wanafunzi na walimu. Pia unaweza kuongeza mapumziko, matukio maalum, mitihani na ratiba maalum za kila siku

Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website
https://www.faulink.com/

🖥️ Mfumo wa Matokeo: https://www.faulink.com/uhasibu_login.php
(unaweza kuongeza mfumo wako baadaye)

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka
https://wa.me/255693118509