Uko ndani ya app. Fungua kwenye browser kwa muonekano na downloads bora.
FAUSTINE MWOYA November 16, 2025 2 min read

Jinsi ya Kutengeneza YouTube Subscriber Button kwenye HTML (Rahisi na Haraka)

Kama una tovuti, blog, au landing page ya biashara, kuongeza YouTube Subscriber Button ni njia bora ya kupata subscribers wengi bila kutumia matangazo. Mtu akibofya button hiyo, ataelekezwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa kusubscribe wa channel yako.

Katika makala hii tutajifunza:

Jinsi ya kupata channel link sahihi

Jinsi ya kutengeneza YouTube subscribe button inayofanya kazi

Jinsi ya kutumia HTML + CSS kwa design nzuri

Mifano kamili ya copy & paste

1. Pata Link Sahihi ya Channel

Kwa channel yako, link ni hii:

https://www.youtube.com/@faulink

Ili button ifanye kazi vizuri, tunatumia format ya subscribe confirmation:

https://www.youtube.com/@faulink?sub_confirmation=1

Hii inamfanya mtu aone pop up:

“Do you want to subscribe to this channel?” → YES

2. Basic HTML Subscriber Button

Hapa ni code ya kawaida unayoweza kuweka popote kwenye blog yako:

Subscribe to My YouTube Channel

Faida:
✔️ Inaonekana kama YouTube button
✔️ Ha-run script yoyote
✔️ Ina-lia kama button kwenye blog contents

3. Subscriber Button iliyo rasmi kutoka YouTube (YouTube API)

Ikiwa blog yako inaruhusu JavaScript, tumia hii:

Huduma hii inaonyesha:
✔️ Live subscriber count
✔️ Official YouTube design
✔️ Auto-update subscribers

Kumbuka: Baadhi ya blog systems haziruhusu

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Quick Actions