jinsi ya kubadilisha namba kuwa asilimia kwenye excel | hatua kwa tatua
π Maana ya Formula
=O2/100
Inachukua thamani iliyo kwenye seli O2.
Inagawa kwa 100 ili kupata asilimia au uwiano mdogo.
πΉ Mfano:
O2 =O2/100
50 0.5
25 0.25
100 1
Unaweza ku-format seli hiyo kuwa Percentage kwa kuongeza % na kuonyesha 50% badala ya 0.5.
π Links Za Kujifunza Zaidi
π Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
π Excel Mifumo β Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
π² Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509