Jifunze Excel NOW(): Pata Tarehe na Muda wa Sasa automatic
1. NOW() Function
NOW() inarudisha tarehe na muda wa sasa (current date & time) kulingana na system clock ya kompyuta yako.
Inasasaishwa kila unapofungua workbook au kufanya recalculation.
Syntax:
NOW()
Haina arguments
Inatoa tarehe na muda (tofauti na TODAY() ambayo inatoa tarehe tu)
2. Mfano Rahisi
Formula:
=NOW()
Result:
2025-11-14 06:25 (mfano tu – inabadilika kulingana na wakati halisi)
Inaonyesha tarehe na muda kwa format ya system
Unaweza kubadilisha formatting kupitia Format Cells → Date/Time
3. Kutumia NOW() Pamoja na Formulas Nyingine
3.1 Pata Saa Zaidi au Chini
Saa 3 zijazo:
=NOW() + TIME(3,0,0)
Saa 5 zilizopita:
=NOW() - TIME(5,0,0)
3.2 Kutofautisha Muda
A
2025-11-14 10:00
Saa zilizopita tangu wakati fulani:
=(NOW() - A2) * 24
24 inabadilisha days → hours
3.3 Deadline na Status
=IF(NOW()>A2,"Expired","Active")
Inapima kama time limit imepita
3.4 Kutumia NOW() pamoja na TEXT()
Format maalum:
=TEXT(NOW(),"dd-mm-yyyy hh:mm AM/PM")
4. Formatting Muhimu
NOW() huleta both date + time
Ikiwa hutaki muda, tumia TODAY()
Ikiwa hutaki tarehe, tumia formatting tu:
Format → hh:mm:ss
5. Tips Muhimu
NOW() inafaa kwa attendance systems, project logs, timestamps, deadline alerts, na live dashboards
Inaweza kuunganishwa na formulas kama:
IF()
TEXT()
TIME()
DATE()
NETWORKDAYS()
DATA VALIDATION ya timestamps
Ina-update automatically kila recalculation
Links Muhimu
Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com
Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509