IF() Excel – Jifunze Kutumia Masharti Rahisi
FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:
=IF(A1>50, "Pass", "Fail")
IF ni formula ya Excel inayotoa matokeo mbili kulingana na sharti:
Matokeo ya TRUE ikiwa sharti limekamilika
Matokeo ya FALSE ikiwa sharti halikamiliki
A1>50 ni sharti; unaweza kubadilisha kulingana na data zako.
"Pass" ni matokeo yanapotimiza sharti, "Fail" ni matokeo yanaposhindwa sharti.
Rahisi kukumbuka: “IF = Ikiwa sharti linafikiwa, toa matokeo fulani; la sivyo toa jingine”
Faida: Inakusaidia kufanya maamuzi kiotomatiki ndani ya Excel bila kuingilia mikono.
LINKS NA RESSOURCES:
Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com
Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509