Jifunze jinsi ya kupata standard deviation ya data yote (population) katika Excel. Hii inakusaidia kuelewa jinsi data zako zinavyosambaa na kutambua tofauti kubwa au ndogo.

FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:

=STDEV.P(A1:A10)


STDEV.P ni formula ya Excel inayopata standard deviation ya population, yaani inazingatia data zote kwenye seti.

A1:A10 ni safu au seli unazotaka kuchambua; badilisha kwa safu yako.

Formula hii inatoa kipimo cha jinsi data zinavyotofautiana kutoka wastani.

Rahisi kukumbuka: “STDEV.P = Standard Deviation ya Population”.

Faida: Inakusaidia kuchambua usambazaji wa data zako, na ni muhimu katika ripoti za hesabu, statistics, na uchambuzi wa data.

LINKS NA RESSOURCES:

Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com

Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509